ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Sawa so wale wawili umeshindwa kuonja kwa mmoja wapo hata kwa nchaa ya ulimi?Ukifungua uzi wakulana usiache kunitag,
Hizo ndio hua nyuzi za kupataia mademu humo humo kwenye mada.
Sawa so wale wawili umeshindwa kuonja kwa mmoja wapo hata kwa nchaa ya ulimi?Ukifungua uzi wakulana usiache kunitag,
Hizo ndio hua nyuzi za kupataia mademu humo humo kwenye mada.
Mwambie Bwashee,Watu ni wema sana nnje ya hizi I'd, kuna watu ukiwaona huto amini ni yeye na ile id🤣
Wallah hapa mie bint Hassan itakua inalillah presha itaniondoa sipendi zogo mimiKuna ile mtu anaenda kusutwa halafu wasutaji wenyewe wanashona na sale kabisa kisha wana kodi na kikundi cha ngoma kuja kukusuta.
Zimekuongezea Nini Cha thamani kwenye maisha yako?unajua raha ya umbea wew😄😄😄😄
Nakubali bwasheeWatu ni wema sana nnje ya hizi I'd, kuna watu ukiwaona huto amini ni yeye na ile id🤣
zininiZimekuongezea Nini Cha thamani kwenye maisha yako?
Kina nani hao?Sawa so wale wawili umeshindwa kuonja kwa mmoja wapo hata kwa nchaa ya ulimi?
Huna kazi. Unakaa tu ukipiga majungunitajitahidi kote ila kuletewa umbea alf nisisikilize aaah hapana mwanetu am soreee
To yeye na win-one si ndio ulikua unajaribu bahati yakoKina nani hao?
Nimekuja kugundua kua mmoja wao hapo ni mbea,To yeye na win-one si ndio ulikua unajaribu bahati yako
Exactly, kuwaepuka hao wote ni sawa na kujitenga na jamii nzima.Kwa Tanzania labda uwe Monk. Hao wote ndio wametuzunguka 24hrs 7. Labda utoe namna ya kuishi katikati ya watu hawa.
Astaghafilullah 🤣🤣 sio Win kweli amepunguzwa hapo😢Nimekuja kugundua kua mmoja wao hapo ni mbea,
Atakuja kuniletea shida kwa majirani zangu.
Maisha ya wenzio yanakuhusu Nini wewe?zinini
nipe kazi mwanetu niache kupiga majunguHuna kazi. Unakaa tu ukipiga majungu
yananipa amani teleMai
Maisha ya wenzio yanakuhusu Nini wewe?
😏😏😏Nimekuja kugundua kua mmoja wao hapo ni mbea,
Atakuja kuniletea shida kwa majirani zangu.
ubavu hana muache ajisemeleshe😄Astaghafilullah 🤣🤣 sio Win kweli amepunguzwa hapo😢
Unajua pa kumshikaubavu hana muache ajisemeleshe😄
ana shikika basi 😅Unajua pa kumshika
MashaAllah 🤗