Epuka Watu Hawa 5 Leo Kwa Faida Yako

Epuka Watu Hawa 5 Leo Kwa Faida Yako

Najua sweetie ila kusutwa ndio siwezi sauti ya kujibishana sina 😂
Naangusha kilio tu

Ila kujibishana kwa simu nipo vizuri kiasi fulani🤣
😄😄 nishawah kusutwa mara moya wakati nipo chuo japo nilompa umbea ye alienda kuubadilisha alf mimi ndo nikafatwa maana ubuyu ulitoka kwenye room yetu,, yaani nililia mno😄😄😄 ikabidi nimuandike huyo shoga angu barua ya kuacha urafiki
 
Acha basi 🤣🤣🤣
Et barua lol 😆
 
😄😄 nishawah kusutwa mara moya wakati nipo chuo japo nilompa umbea ye alienda kuubadilisha alf mimi ndo nikafatwa maana ubuyu ulitoka kwenye room yetu,, yaani nililia mno😄😄😄 ikabidi nimuandike huyo shoga angu barua ya kuacha urafiki
Baada ya kusutwa uliacha umbea au ndio walikukomaza kua mbea mbobezi?
 
😄😄 nishawah kusutwa mara moya wakati nipo chuo japo nilompa umbea ye alienda kuubadilisha alf mimi ndo nikafatwa maana ubuyu ulitoka kwenye room yetu,, yaani nililia mno😄😄😄 ikabidi nimuandike huyo shoga angu barua ya kuacha urafiki
😆😆
 
Back
Top Bottom