win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
unajua raha ya umbea wew😄😄😄😄Shenziiii binti
unajua raha ya umbea wew😄😄😄😄Shenziiii binti
Samehe tuKuna mjinga alichukua afu 20 yangu kwa style hiyo tangu asema atairudisha Jumatano, zimeshapita Jumatano tatu na haoneshi dalili za kulipa.
Ukiazimwa elfu 20, usitoe afu 20. Toa afu 5 iliyobaki akatafute kwingine.Kwa Tanzania labda uwe Monk. Hao wote ndio wametuzunguka 24hrs 7. Labda utoe namna ya kuishi katikati ya watu hawa.
Kweli hawa ni wakuepukana nao6. Mtu anaejiita mwanachama wa mboga mboga
Nimemsamehe ila nimem blacklist.Samehe tu
Siyo kweli.Hiyo mipaka ndyo kuwaepuka kwenyewe
Raha ya umbea usutwe.unajua raha ya umbea wew😄😄😄😄
unasutwa unaona haya siku mbili tatu unarudia tena😄😄ðŸ¤Raha ya umbea usutwe.
Nitajitahidi InshaAllahSio rahisi uache kwa haraka , mwenyewe bado ninayo
Ni sawa na pombe,unasutwa unaona haya siku mbili tatu unarudia tena😄😄ðŸ¤
Najua sweetie ila kusutwa ndio siwezi sauti ya kujibishana sina 😂unajua raha ya umbea wew😄😄😄😄
Hebu nirushie teni ya haraka haraka mtu wangu.nitajitahidi kote ila kuletewa umbea alf nisisikilize aaah hapana mwanetu am soreee
Pokea simu basi.Najua sweetie ila kusutwa ndio siwezi sauti ya kujibishana sina 😂
Naangusha kilio tu
Ila kujibishana kwa simu nipo vizuri kiasi fulani🤣
Wewe hata kwa simu nakuogopa so sipokeiiiiii🤪Pokea simu basi.
SidhaniNi sawa na pombe,
Raha ya pombe ujute kwa uliyo yafanya jana yake.
Bwashee sio kila starehe lazima iwe kwa wote au ikubalike na wote,Sidhani
tuma lipa namba mwanetuHebu nirushie teni ya haraka haraka mtu wangu.
Hata wewe nakuogopa pia.Wewe hata kwa simu nakuogopa so sipokeiiiiii🤪
OMG 😅Hata wewe nakuogopa pia.
Huwa ana epuka watu wanao hoji jambo kama police nilisha mnoti😅Hata wewe nakuogopa pia.