Epusha taharuki kwa kuacha kusambaza Taarifa ambazo hujathibitisha uhalisia wake

Epusha taharuki kwa kuacha kusambaza Taarifa ambazo hujathibitisha uhalisia wake

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Hakikisha Taarifa unazozisambaza kwa watu wengine unazithibitisha kwanza uhalisia wake ili kuepuka Taarifa Potofu kwani zinaweza kusababisha taharuki katika jamii.

Tumia Jukwaa la JamiiCheck.com kuwasilisha Taarifa unayohitaji kupata uhalisia wake huku ukijifunza namna sahihi ya uthibitishaji wa maudhui ya picha, video, sauti na kadhlika.
 
Back
Top Bottom