Kuna mgogoro mkubwa unaendelea katika eneo linalodaiwa kuwa la EPZA huko Tanga.
Tatizo linatokana na wamiliki wa zamani baada ya kulipwa fidia kuwauziawageni wasiojua kuwa eneo hilo ni la EPZA . Worse still Mwenyekiti wa Dogodogo amehusika pakubwa kuwatapeli wanachi kama Mwenyekiti wa.mtaa wa Neema.
Suluhisho: EPZA wekeni ramani au beacon kuonesha kuwa eneo hili lina mmiliki ambaye ni EPZA.