zethumb
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 610
- 137
jamani muda ndo huo unayoyoma na baadhi ya vyuo vimeanza kutoa admission forms. je walio apply vyuo kwa kutumia equivalent qualification vipi jamaa maana kila niki angalia ni 'CHECKING IN PROGRESS' tu. au ndo tumekula ya chuya? mwenye update tafadhali.
nawasilisha.
nawasilisha.