Equity Bank crosses the Ksh 1 Trillion balance sheet mark

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Posts
1,375
Reaction score
1,362

Equity Bank crosses the Ksh1 trillion balance sheet mark - TV47​

Equity Group has become the first bank in Eastern and Central Africa to cross the Ksh1 trillion balance sheet mark.

Speaking in Kinshasa, DR Congo, during the migration of the country’s BCDC to Equity’s core banking platform, Group CEO Dr. James Mwangi said, β€œWe are delighted to witness this milestone that has shattered the psychological barrier of a trillion-shilling balance sheet.”

The milestone was achieved following this successful migration. This milestone shores up Equity’s visibility to compete with other financial institutions notably in South Africa, West Africa, and North Africa, particularly in financing projects.

β€œThe benefits to our customers will be immense. The bank is also the most capitalized in East and Central Africa with over Ksh142 billion…. Equity banking subsidiaries will now be in a position to leverage the Group’s strength to extend large corporate loans across all the countries where Equity operates.”

BCDC, said Dr. Mwangi, brings a century old experience in corporate banking to Equity. β€œWe are excited at the possibilities that Equity Group Holdings brings to our BCDC customers,” said Yves Cuypers, BCDC Managing Director. β€œ

By becoming part of a large international financial services Group, our customers will enjoy a wider choice of products and services and most importantly, they will immediately be able to access modern technologically driven banking, including a versatile mobile banking experience, international card payment options and merchants, access to a wide range of payment outlets and a broad digital banking footprint.”

Dr. Mwangi said Equity’s success has been out of the passion exhibited by the staff, and the revolutionary, customer-driven products.

Source: Equity Bank crosses the Ksh1 trillion balance sheet mark - TV47
 
Equity Bank is also capturing the Tanzanian market very fast!! NMB and CRDB cannot keep up with the technological pace that equity is undertaking inspite of all the government support they are given!!

Eti nchi ya uchumi wa kati wakati benki zenu zinanunuliwa mpaka na nchi ndogo kama Malawi kwa bei ya kutupa!!! Something is wrong somewhere in the management of the financial sector.
 
Equity Bank is also capturing the Tanzanian market very fast!! NMB and CRDB cannot keep up with the technological pace that equity is undertaking inspite of all the government support they are given!!

Wanateka hadi DRC...
 
unalalamikia uchumi wa kati badala ya kununua bank moja nawewe ufanye biashara iliyowashinda hao[emoji1][emoji1][emoji1].
 
unalalamikia uchumi wa kati badala ya kununua bank moja nawewe ufanye biashara iliyowashinda hao[emoji1][emoji1][emoji1].
Wewe na wenzako huwa mnasema uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi. Sasa mbona benki zetu zinanunua benki nyingi East Africa? Halafu mbona benki zetu ni kubwa kushinda benki za nchi nyingine Afrika mashariki?
 
makaratasi yapo hapa,wacha nikueleweshe kama hujui.

yaani thamani au mtaji husika wa bank unapokuwa mkubwa,unakuwa unaakisi hali halisi ya maisha kwa watu wake.

mfano ni nadra kusikia watu wamegoma kisa mishahara.
ni nadra kusikia jiji au mji hauna maji.
ni agharabu kusikia nchi inakopa kopa mpaka kwenye mirani ya peni mbili.

huku tz hakuna hata kampuni moja yenye mtaji wa pesa hizo,na kama ingekuwepo,nisingepoteza muda kukuelewesha hapa namna hii.
 
unalalamikia uchumi wa kati badala ya kununua bank moja nawewe ufanye biashara iliyowashinda hao[emoji1][emoji1][emoji1].

Tanzania ukinunua benki desho wasiojulikana lazima wakufuate; lazima watakubambikia kesi ya moneylaundering halafu wanakulazimisha uzungumze na DPP!!!
 
Tanzania ukinunua benki desho wasiojulikana lazima wakufuate; lazima watakubambikia kesi ya moneylaundering halafu wanakulazimisha uzungumze na DPP!!!
ni sheria tu za utakatishaji fedha ndio zinataka hivyo,historia ya pesa zako iwe safi.
 
Tanzania ukinunua benki desho wasiojulikana lazima wakufuate; lazima watakubambikia kesi ya moneylaundering halafu wanakulazimisha uzungumze na DPP!!!

Kenya sasa zile FEDHA za korona zilizoibwa, ndizo zinanunua mabenki.
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Penye nyeupe pawe peupe na penye Nyeusi pasemwe ni peusi, Tusipinfishe.

Big up sana Kenya.

Ujue zamani huku Tz ili ufungue account process ilikuwa ni ndefu sana, sijui kusaini barua ya balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa mtaa, bla bla bla, yani it was a lengthy and exhausting process.... yani hata kupata atm card hapo inabidi usubiri hata wiki 2 baada ya kufungua account.

Nikasema wacha nifungue account Equity nihakikishe kama kweli wanafungua account haraka, Zap!! in a finger snap within 5 minutes nikawa namiliki account na atm card, nlishangaa sana.

Kitu kingine ni internet banking, Tangu zamani nlikiwa na account Crdb bank ambayo ni kubwa huku Tz, Sasa nlikiwa siwezi kutransact online payments hata nikiingiza zile namba za atm inakataa, nikaenda tawi la crdb kucheki utaratibu wa internet banking, nakumbuka nimesainishwa sana forms kila nikienda naambiwa subiri subir subiri, miezi 9 imepita tunapigishana kiswahili tu hakuna vitendo, nilivyoenda equity kufungua account na kupewa atm kadi nikauliza kama maweza fanya malipo online wakaniambia kila kitu tayari, Nakumbuka niliingia ebay nikaagiza vitu, vikafika baada ya 3 weeks posta, i was just so amazed.

Kitu kingine, hizi benki zetu hasa crdb zamani ikifika saa 10 benki ishafungwa na siku za weekends ni jumamosi tu hadi saa sita, Equity akaja huku yani benki inafungwa saa 12 na hata jumamosi ni kazi kazi, kilichotokea ni kwamba nao crdb nao wakaanza kuchelewa kufunga, siku hizi hata jumapili benki zipo wazi 😁😁, hii ilifanyika kwajili ya ushindani mkali wa equity maana wangeleagea basi equity ange dominate in a long run.

Equity benki safi, upinzani walioleta naushukuru sana maana umezipa wake up call benki zetu za hapa Tz.

Equity huwa naitumia sana mambo ya online ila kutunzia pesa nipo kule kule crdb.

Tuwe tunapeana changamoto, ndio undugu mzuri, Sio kuponda ponda tu kila kitu,

To conclude, kuna maendeleo kenya wanapata sababu ya tz na tz wanapata kutoka kenya, Mambo ya kutambiana huyu hana hiki ambacho sisi tunacho au huyu ana shida flani ambayo sisi hatuna ni kama ujinga tu, lets focus on development.
 
Asante kwa kuwa mkweli ndugu. Benki za Kenya zina ushindani mkubwa sana. Mimi benki yangu imekuwa ni KCB kwa miaka mingi sasa lakini naiheshimu Equity bank kwa ukakamavu na bidii ambayo wanatia kwenye kazi yao.
 
Equity benki poa, ila tu huku mimi nilifanya online transaction ya dola 30 wakaikata mara mbili, also kuna mwengine nae ilikuwa hivi hivi, Vipi kwa kenya kuna scandals hizi za janja janja, japo anakuwaga ni mtu moja mwenye tamaa anafanya wizi huu, sio benki nzima.
 
Kenya sasa zile FEDHA za korona zilizoibwa, ndizo zinanunua mabenki.
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Ninyi zenu za corona mmezitumia kuwaibia wananchi wenu haki ya kuchagua wawakilishi wao wawapendao; huku mkijinasibu kuwa nchi yenu haina corona!!!
 
Ninyi zenu za corona mmezitumia kuwaibia wananchi wenu haki ya kuchagua wawakilishi wao wawapendao; huku mkijinasibu kuwa nchi yenu haina corona!!!
ni kweli nchi hii haina corona.

hizo pesa tulipewa kukabiriana na madhara ya corona,sio kupambana na corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…