Equity bank imeamua badala ya kudeal na benki mbili huko DR Congo ni heri izishikanishe pamoja ili ziwe bank moja kubwa. Benki za Kenya zinazidi kutesa ukanda huu wote. Naona uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi.
Hapo kwa DRC tulipatia....patamu sana tukifaulu kuteka soko lao tutakua tumefunga mabao ya kufa mtu.
Pia Equity wanazidi kutanua Tanzania, haya mataifa mawili bado bikira kwenye suala la uwekezaji wa kwenye mabenki, tuingie kichwa kichwa.