Yaa ni bank zuri lakini niwapuuzi sana,siku moja nikasikia wanatoa mikopo ya gali,nikaenda kuwaomba unataka Gali gani nikawaambia nataka Hiece, wakati unazo ngapi,nikawaambia 2 unataka shilling ngapi 10 ml,wewe unashilingi ngapi 13ml,ziko wapi bank Fulani,unaweza kutuonyesha salio?nikachukua sim nikauliza salio nikawaonyesha,wakaniuliza utaweka dhamana gani,nikawambia kadi ya Gali na hiyo nitakayo nunua,wakasema sawa lakini unatakiwa ukate (compensive) bima ya Gali zako mbili zile kubwa za 2ml kila moja nahiyo utakayo nunua nayenyewe jumla bima 3 za million 6,nikaona hao jamaa ni kanjanja tu,niwaswahili kama Wa Bank zetu Tz,niwe na 6ml halafu nije kuingia kwenye ghalama ya karbu 18ml pamoja liba nikaona Nile kidogo nilale mapema
Sent using
Jamii Forums mobile app