Equity bank to be leading bank in Tanzania

new generation

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
817
Reaction score
1,687
Wapendwa, habarini zakwenu? ninatoa utabiri wa equity bank kua bank itayokuja kuongoza kwa kutoa huduma bora tanzania, kua na mateja wengi tanzania, kwa ukuaji wa kasi, kwa ubunifu wa huduma (products) na hivo kua A LEADING BANK IN TANZANIA for some years to come. nawakilisha.
 
Hataa siku moja...benki kama haina wateja itafanyaje biashara mkuu think from ther na wateja wa benki zetu bongo ni wafanyikazi wa serikali je huko benki iyo wataenda...Ni wazo tuu kuanza kutafakari!!!
 
Wapendwa, habarini zakwenu? ninatoa utabiri wa equity bank kua bank itayokuja kuongoza kwa kutoa huduma bora tanzania, kua na mateja wengi tanzania, kwa ukuaji wa kasi, kwa ubunifu wa huduma (products) na hivo kua A LEADING BANK IN TANZANIA for some years to come. nawakilisha.

kuna means nyingi za kwenda, na kwann wasema haina wateja?
 
Wapendwa, habarini zakwenu? ninatoa utabiri wa equity bank kua bank itayokuja kuongoza kwa kutoa huduma bora tanzania, kua na mateja wengi tanzania, kwa ukuaji wa kasi, kwa ubunifu wa huduma (products) na hivo kua A LEADING BANK IN TANZANIA for some years to come. nawakilisha.

mhhhh.......!!! umbea hata katika mambo yasiyohitaji umbea
 
Truth be told.. Hii bank ni makini na itateka soko sio la Tz tu bala East Africa kwa mjumla..

Nisema hivi sababu nina account huko, wako so focused..

mkuu, asante kwa maoni yako...mimi nipo mbeya mjini, na nimeona wanafungua branch yao hapa...hebu eleza uzuri wao hapa mtu ukitaka kfungua account zako personal, joint na Company? mikopo yao ikoje? nk
 
Nasapoti utabiri wako kiongozi nadhan moja ya sababu wana wateja wachache hivyo wana muda wa kutosha kumuhudumia kila mmoja

Hata mimi nina account huko, I like their services
 
Ulipaswa useme ninini wana-offer tofauti na wengine angalau utoe mwanga. Binafsi sina account huko ila nafahamu wako aggressive sana na wanatusumbua mabenki mengine kwenye POS machine na inaonekana kwenye hilo wamejipanga sana. Mengine sijui
 
Hahah! Ukifanya kazi na Wakenya lazima utakuwa agressive tu.....everything is all about attitude.

Sukari Yenu
 
Yaa ni bank zuri lakini niwapuuzi sana,siku moja nikasikia wanatoa mikopo ya gali,nikaenda kuwaomba unataka Gali gani nikawaambia nataka Hiece, wakati unazo ngapi,nikawaambia 2 unataka shilling ngapi 10 ml,wewe unashilingi ngapi 13ml,ziko wapi bank Fulani,unaweza kutuonyesha salio?nikachukua sim nikauliza salio nikawaonyesha,wakaniuliza utaweka dhamana gani,nikawambia kadi ya Gali na hiyo nitakayo nunua,wakasema sawa lakini unatakiwa ukate (compensive) bima ya Gali zako mbili zile kubwa za 2ml kila moja nahiyo utakayo nunua nayenyewe jumla bima 3 za million 6,nikaona hao jamaa ni kanjanja tu,niwaswahili kama Wa Bank zetu Tz,niwe na 6ml halafu nije kuingia kwenye ghalama ya karbu 18ml pamoja liba nikaona Nile kidogo nilale mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo hiace 2 unazo kweli au uliwapiga kamba tu
 
Back
Top Bottom