Equity Bank to resume talks to acquire Zimbabwean lender BancABC, a wholly-owned subsidiary of Atlas Mara.

Top 3 largest banks in kenya are all owned by Kenyans, 1.Kcb bank, 2.Equity Bank.3.Ncba Bank.4Cooperative bank
 
Bring that rest that you claim,wacha story mob
Soma huko juu
Hahaha you own only 25% go bury yourself
 
Hahaha mnajipaga moyo, kama mnavyojidanyaga mmegundua mpesa, that bank is a western property
 
Atlas Mara na BancABC yao nilijua ni wasanii tu!

Chekibobu Thakkar Hashish muongeaji kama mashine eti ni bilionea namba moja Africa wakati ni sanaa tu!

Na Mara Phones zao ni sanaa tupu!

Aiseee
 
Hahaha mnajipaga moyo, kama mnavyojidanyaga mmegundua mpesa, that bank is a western property
Napenda inavokuuma, wivu wa sampuli hii sio trait nzuri kwa mwanaume. Anyway, Equity Building Society(EBS) ilianza kuitwa Equity Bank mwaka wa 2004. Miaka miwili baadaye wakaanza kuuza hisa NSE. Kabla ya hapo Equity ilikuwa ni family business. Chini ya Founder na Chairman Peter Munga. Ambaye ndiye alianzisha Equity Building Society/Equity Bank kijijini kwao Rwathia, Muranga mwaka wa 1984.
 
Being founder, creator, father, initiator, dreamer, source whatever doesn't twist the fact that he owns a mere 5% tinny stakes out of 100% fat stakes. He's not even a key person in the bank despite being a founder
 
Founder + Chairman kwa miaka 35! Kabla ya 2006 Equity Bank ilipouza hisa 90.5million kwenye NSE na stock exchange ya Uganda pia benki hiyo ilikuwa mali ya Peter Munga & Family.
 
Haiondoi uhalali kwamba hisa zake ni 5%,wazungu wanamiliki equity kwa kuwa na hisa nyingi
Acha papara basi, keti mkao wako wa kawaida, wa mwanafunzi kichwa boga ili uelimishwe. Walipoanza kuuza hisa NSE na Kampala mwaka wa 2006 ilimaanisha nini? Kwamba mtu yeyote anaweza akanunua hisa za Equity. Wakenya ndio wamenunua hisa za Equity Bank kwa wingi chini ya muongozo na uongozi dhabiti wa C.E.O James Mwangi. Hebu tutajie majina ya hao wazungu ambao wanamiliki hisa nyingi zaidi ya wakenya.
 
Ata mimi nangoja hao "over 70% foreign investors" anashinda akiimba hapa
 
Being founder, creator, father, initiator, dreamer, source whatever doesn't twist the fact that he owns a mere 5% tinny stakes out of 100% fat stakes. He's not even a key person in the bank despite being a founder

Wewe wacha machungu na wivu.
Kama hauna pesa za kununua Equity kwenye soko la hisa, wacha walionazo wanunue.

Nchi ya maziwa na asali na kampuni yenu kubwa zaidi ni one tenth ya Equity.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kwa nini hao wazungu hakuji kuinvest huko kwenu?
 
Haiondoi uhalali kwamba hisa zake ni 5%,wazungu wanamiliki equity kwa kuwa na hisa nyingi
bado yupo na tiny 5% mzungu anamiliki more than 75% na ndio mmiliki halali wa equity
 
Hahaha ila mzungu ameikamata Kenya kuanzia safaricom, equity, KCB, kq, kengen, Mombasa port, tatu city, you name them.... All over everywhere
 
Minority shares unazifanya majority?
Ulichotaka ni foreign investors angalau watatu, nimekulete zaidi ya 75%

Eti minority, "mwenye Bank" anamiliki 5% of the shareholders sasa minority ni nani?
 
Ulichotaka ni foreign investors angalau watatu, nimekulete zaidi ya 75%

Eti minority, "mwenye Bank" anamiliki 5% of the shareholders sasa minority ni nani?

Ukizijumlisha hizo share zao zinafika 75%?
 
Hahaha ila mzungu ameikamata Kenya kuanzia safaricom, equity, KCB, kq, kengen, Mombasa port, tatu city, you name them.... All over everywhere

Shinda hapo. Mimi mwenye hisa Safaricom, KCB na Equity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…