KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Top 3 largest banks in kenya are all owned by Kenyans, 1.Kcb bank, 2.Equity Bank.3.Ncba Bank.4Cooperative bank
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma huko juuBring that rest that you claim,wacha story mob
Hahaha you own only 25% go bury yourselfLet me break it down to your jealous head.
British American Invstement (Britam) - Owned by Kenyans
James Mwangi - Kenyan
Equity Bank Employees - Kenyan
Standard Chartered Nominee A/C KE0024272 - Kenyan
Equity Bank Nominees Limited A/C 001042 - Kenyan
28,304 other investors - Mostly Kenyans at the NSE
The only nominee account not Kenyan is the one indicated Non-Resident or NR
Hahaha mnajipaga moyo, kama mnavyojidanyaga mmegundua mpesa, that bank is a western propertyLeo hii hutaamini ukiambiwa kwamba Equity Bank ilianza kama Equity Building Society, ya wakulima maeneo ya Murang'a, mwaka wa 1984. Sasa hivi wapo Juba, Kinshasa, Kigali, Dar, Maputo n.k. n.k, ndani ya NSE pia na wamejishinda hadi tuzo la benki bora Afrika. True Kenyan success story!![]()
Nani kakudaganya? Zaidi ya 70% ni foreign investors just like safaricom and Kenyan tanesco
Can you mention two foreigners that own Equity Bank?
![]()
Equity Bank in Talks to Enter Zimbabwe
According to several Zimbabwe media outlets, Equity Group Holdings (EGH) intends to resume talks to acquire Zimbabwean lender BancABC (Zimbabwe) a wholly-owned subsidiary of Atlas Mara. As of 2017, BancABC […]wp.me
Hahaha you own only 25% go bury yourself
Napenda inavokuuma, wivu wa sampuli hii sio trait nzuri kwa mwanaume. Anyway, Equity Building Society(EBS) ilianza kuitwa Equity Bank mwaka wa 2004. Miaka miwili baadaye wakaanza kuuza hisa NSE. Kabla ya hapo Equity ilikuwa ni family business. Chini ya Founder na Chairman Peter Munga. Ambaye ndiye alianzisha Equity Building Society/Equity Bank kijijini kwao Rwathia, Muranga mwaka wa 1984.Hahaha mnajipaga moyo, kama mnavyojidanyaga mmegundua mpesa, that bank is a western property
kenyanwallstreet.com
Being founder, creator, father, initiator, dreamer, source whatever doesn't twist the fact that he owns a mere 5% tinny stakes out of 100% fat stakes. He's not even a key person in the bank despite being a founder![]()
Equity Bank founder & Chairman Peter Munga retires after 35 years of service
The Board of Equity Bank has announced the retirement of its Founder and Chairman Peter Munga and the appointment of Mr. David Ansell Vice Chairman as Chairman Designate. Peter Munga […]kenyanwallstreet.com
Founder + Chairman kwa miaka 35! Kabla ya 2006 Equity Bank ilipouza hisa 90.5million kwenye NSE na stock exchange ya Uganda pia benki hiyo ilikuwa mali ya Peter Munga & Family.Being founder, creator, father, initiator, dreamer, source whatever doesn't twist the fact that he owns a mere 5% tinny stakes out of 100% fat stakes. He's not even a key person in the bank despite being a founder
Haiondoi uhalali kwamba hisa zake ni 5%,wazungu wanamiliki equity kwa kuwa na hisa nyingi
Acha papara basi, keti mkao wako wa kawaida, wa mwanafunzi kichwa boga ili uelimishwe. Walipoanza kuuza hisa NSE na Kampala mwaka wa 2006 ilimaanisha nini? Kwamba mtu yeyote anaweza akanunua hisa za Equity. Wakenya ndio wamenunua hisa za Equity Bank kwa wingi chini ya muongozo na uongozi dhabiti wa C.E.O James Mwangi. Hebu tutajie majina ya hao wazungu ambao wanamiliki hisa nyingi zaidi ya wakenya.Haiondoi uhalali kwamba hisa zake ni 5%,wazungu wanamiliki equity kwa kuwa na hisa nyingi
Acha papara basi, keti mkao wako wa kawaida, wa mwanafunzi kichwa boga ili uelimishwe. Walipoanza kuuza hisa NSE na Kampala mwaka wa 2006 ilimaanisha nini? Kwamba mtu yeyote anaweza akanunua hisa za Equity. Wakenya ndio wamenunua hisa za Equity Bank kwa wingi chini ya muongozo na uongozi dhabiti wa C.E.O James Mwangi. Hebu tutajie majina ya hao wazungu ambao wanamiliki hisa nyingi zaidi ya wakenya.
Being founder, creator, father, initiator, dreamer, source whatever doesn't twist the fact that he owns a mere 5% tinny stakes out of 100% fat stakes. He's not even a key person in the bank despite being a founder
Haiondoi uhalali kwamba hisa zake ni 5%,wazungu wanamiliki equity kwa kuwa na hisa nyingi
bado yupo na tiny 5% mzungu anamiliki more than 75% na ndio mmiliki halali wa equityAcha papara basi, keti mkao wako wa kawaida, wa mwanafunzi kichwa boga ili uelimishwe. Walipoanza kuuza hisa NSE na Kampala mwaka wa 2006 ilimaanisha nini? Kwamba mtu yeyote anaweza akanunua hisa za Equity. Wakenya ndio wamenunua hisa za Equity Bank kwa wingi chini ya muongozo na uongozi dhabiti wa C.E.O James Mwangi. Hebu tutajie majina ya hao wazungu ambao wanamiliki hisa nyingi zaidi ya wakenya.
Hahaha ila mzungu ameikamata Kenya kuanzia safaricom, equity, KCB, kq, kengen, Mombasa port, tatu city, you name them.... All over everywhereWewe wacha machungu na wivu.
Kama hauna pesa za kununua Equity kwenye soko la hisa, wacha walionazo wanunue.
Nchi ya maziwa na asali na kampuni yenu kubwa zaidi ni one tenth ya Equity.. 😂 😂 😂
Kwa nini hao wazungu hakuji kuinvest huko kwenu?
View attachment 1237086
In 60% on other shareholders 55% is foreign shares
Ulichotaka ni foreign investors angalau watatu, nimekulete zaidi ya 75%Minority shares unazifanya majority?
Ulichotaka ni foreign investors angalau watatu, nimekulete zaidi ya 75%
Eti minority, "mwenye Bank" anamiliki 5% of the shareholders sasa minority ni nani?
Hahaha ila mzungu ameikamata Kenya kuanzia safaricom, equity, KCB, kq, kengen, Mombasa port, tatu city, you name them.... All over everywhere