Equity ya Kenya yatajwa ndani ya mabenki kumi bora Afrika

Bro MK254 unajitekenya mwenyewe. Kiblogi chenu cha Kenya, unataka kitumike kama source. Equity bank Kenya hata katika top 20 banks in Africa haipo. Usichanganye performance wakati wa COVID-19 na assets ambapo equity imepewa scores kubwa ila sio ukubwa.
 
Kwa kweli benki za Kitanzania zima mengi ya kujifunza kutoka kwa Equity. Ingawa mimi siitumii kwa sababu zangu maalum. Ila natamani benki yangu ingefanya kazi kama equity.
 
By the way IMF recently added kes 2.8 billion to equity bank sme fund, to enhance loans provision to the sme sector. Any kenyan sme operator from carpenters to technology startups contact equity bank to get information on how you can scale your businesses.

They will also link you up with aspire (A program run by kenya private sector alliance and GOK) where you get business advice and mentorship and knowledge from KRA on tax laws , kebs on international standards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…