Jamaa wa platinum walienda kuchimba eneo la kupigia penalty!Halafu wakalazimisha Nyoni aweke katikati kwenye shimo!Akasema sawa na akatupia!Pressure ya ile penati kama huna natural confidence HUPATI!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa wa platinum walienda kuchimba eneo la kupigia penalty!Halafu wakalazimisha Nyoni aweke katikati kwenye shimo!Akasema sawa na akatupia!
Wajukuu wa Mugabe wako wanalia ninavyoandika hapaNini kimetokea? Ile Vita Dar es Salaam imeisha...?
Mmnh waache visa...! Kwani hawakujua kuwa hawatoki?Wajukuu wa Mugabe wako wanalia ninavyoandika hapa
Marsha alikuwa fundi mnoJamani mbona hamumpangi GEORGE MAGERERE MASATU NA HUSSEIN AMANI MARSHA?
Ile penalt kama angepiga John Bocco .Pressure ya ile penati kama huna natural confidence HUPATI!
Mwanzoni aliutoa, golikipa akaja kuurudisha, jamaa wamewekeza kwenye mbinu chafuchafu sana.Mbinu chafu wanazijuaJamaa wa platinum walienda kuchimba eneo la kupigia penalty!Halafu wakalazimisha Nyoni aweke katikati kwenye shimo!Akasema sawa na akatupia!