Erasto Nyoni, kiraka, fundi, bingwa wa penati, mtaalamu

Erasto Nyoni, kiraka, fundi, bingwa wa penati, mtaalamu

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Huyu mtu mpira halazimishi, kwa umri wake ni ajabu na kweli! Fundi wa mpira, bingwa wa penati, kiraka! Mpe majina yote! Akiwepo timu inatulia!

Huyu fundi tumpe heshima yake. Hebu piga saluti hapo chini kwa heshima yake [emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom