Na kesho ukisikia nyoni sio simba ila kasajiliwa yanga uje hapa kuomba radhi.yeboyeboweweSimba nao kuna muda wanachekesha. Hivi ni nani aliyewashauri kusajili hao wazee? Ukianza na huyo Nyoni, Okwi na hata John Bocco?
Rage aliwahi kuwaita mashabiki wa Simba kuwa ni Mbumbumbu na wala hakukosea hata kidogo.
Asante huyu Golikipa ametokea timu gani vile ?
Wazee wanaanzia umri gani kimpiraSimba nao kuna muda wanachekesha. Hivi ni nani aliyewashauri kusajili hao wazee? Ukianza na huyo Nyoni, Okwi na hata John Bocco?
Rage aliwahi kuwaita mashabiki wa Simba kuwa ni Mbumbumbu na wala hakukosea hata kidogo.
Kivipi mkuu, mbona anapachika magoli?Duh..simba veterans
Ndio huyo huyo! Kwa nyongeza alihusika na zile goli 5 walizotufunga simba kipindi kile! Hana kiwango cha kutisha kwa kweli!Kama huyu kipa ni yule aliyewahi kuwa Majimaji baadaye Yanga kabla kutua Mtibwa SSC wajue wamesajili GARASHA. Watajuta watajuta. Pesa imepotea bure hata kama yuko timu ya taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani bhana! Kwa hiyo Erasto ana miaka 27? Tangu 2007 yupo timu taifa! Sijui alianza soka lini! Hivi ni nani anapendekeza usajili wa simba msimu huu?Kwani kamusoko ngoma ni vijana? Je mess na ronado Mbona hamuwaiti wazee na mnawasujudia? Inakueeje nyinyi mashabiki WA Tanzania mnawadharau wachezaji wenu? Umri wa miaka 27 Sio uzee ndio Kipindi cha kucheza mpira Acheni ushabiki wa kijinga jifunzeni kuiga mazuri ya wenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu achana na chura wao na chama ile kongwe hawana tofautiNi juzi tu mlikua mnamsifia nyoni kwamba kasajili pale madimbwini kwamba ni kiraka mara hii ashakua mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
VAT69Asante mkuu tuonane Simba Day. Tarehe nane mwezi wa nane mwaka elfu mbili na kumi na saba.
Nitakupa ofa ya kinywaji chochote unachokipenda, chupa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wataalam hawahitaji muda kuzoeanaHongera simba kwa kuanza kuunda simba mpya nadhan yafaa kuwajulisha fans kuwa wawavumilie msimu huu upite maana kiukweli watakuwa hawajazoeana ila kuanzia 2018/19 hapo ndo ubingwa msimbaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasema yote msimu huuNdio huyo huyo! Kwa nyongeza alihusika na zile goli 5 walizotufunga simba kipindi kile! Hana kiwango cha kutisha kwa kweli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo VAT69
Nini tafsiri yako kuhusu wachezaji wazee?Simba hivi sasa imeachana na wavulana sasa inasajili wazee wa kazi ,wavulana wanaleta sana utoto
Pili simba ikisajili watoto watu wanawarubuni hao watoto kisha wanaanza kuleta maringo na kucheza chini ya kiwango,ni kheri usajili wazee wanao jituma kuliko kusajili wavulana wanyoa viduku ubishoo mwingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Cristiano Ronaldo yuko timu ya taifa tangu 2004Acha utani bhana! Kwa hiyo Erasto ana miaka 27? Tangu 2007 yupo timu taifa! Sijui alianza soka lini! Hivi ni nani anapendekeza usajili wa simba msimu huu?
Sent using Jamii Forums mobile app