ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Haina salamu.
Hasira zote zikushukie mchezaji usieleweka unacheza namba gani uwanjani, Erasto Nyoni. Hivi unashindwa nini kuiga mfano wa beki Aggrey Morris aliyeamua kutundika daluga?
Yaani sasa hivi umekuwa mchezaji kituko ndani ya Simba, wewe pamoja na hao wakuitwa legends, Jonas Mkude na John Bocco.
Yaani hamna hadhi tena ya kuitumikia Simba SC. Ushauri wangu kwenu kama mnapenda sana kubaki Simba basi ni vyema mkatundika daluga, mstaafu kwa heshima zipo nafasi nyingi katika timu ukiachana na kuwa mchezaji, mnaweza kuomba kuwa hata Kit Manager wa timu.