Erasto Nyoni ni bora ustaafu ili uwe 'Kit Manager' wa Simba

Erasto Nyoni ni bora ustaafu ili uwe 'Kit Manager' wa Simba

Makosa yamefanywa na viongozi wakati wa usajili. Walitakiwa kuachwa kabisa, kwa sababu kubaki simba pamoja na matola lazima watapewa nafasi za kishkaji. Kama mgunda atamwogopa matola ataharibikiwa soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkude bado hajaisha.
Simba inatakiwa iwapate namba 6 wa aina ya kama yule wa Azam Issa ndala yani unaona kabisa kiungo ana chezesha timu anatoa pasi zinaonekana
 
Back
Top Bottom