ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Umeambiwa simba ni kituo cha kuhudumia familia za wasiojiweza??wanafamilia utaziudumia wewe? uwezi kumlaumu nyoni AZAM walikuwa vizuri kila idara
Waende hata geita gold kwa mkopoHaina salamu.
Hasira zote zikushukie mchezaji usieleweka unacheza namba gani uwanjani, Erasto Nyoni. Hivi unashindwa nini kuiga mfano wa beki Aggrey Morris aliyeamua kutundika daluga??
Yaani sasa hivi umekuwa mchezaji kituko ndani ya simba wewe pamoja na the so called legends, Jonas Mkude na John Bocco.
Yaani hamna hadhi tena ya kuitumikia Simba sc. Ushauri wangu kwenu kama mnapenda sana kubaki Simba basi ni vyema mkatundika daluga,mstaafu kwa heshima zipo nafasi nyingi katika timu ukiachana na kuwa mchezaji, mnaweza kuomba kuwa hata kit manager wa timu.
Mkopo wa nini tena ili muda wao ukiisha warudi tena Simba?! Hao ni wa kupewa mkono wa kwaheri, waende kutafuta changamoto mpyaWaende hata geita gold kwa mkopo
Kuvunja mikataba ni gharama.Mkopo wa nini tena ili muda wao ukiisha warudi tena Simba?! Hao ni wa kupewa mkono wa kwaheri, waende kutafuta changamoto mpya
Nyoni age mate wake Aggrey ni kosa sasaHaya malalamiko tuliyatarajia kabisa baada ya kile kichapo chenu cha jana.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mkopo wa nini tena ili muda wao ukiisha warudi tena Simba?! Hao ni wa kupewa mkono wa kwaheri, waende kutafuta changamoto mpya
Kabla ya kuja simba walikuwa wakila nini?Watoto wale nini?
Nyoni anatumika kiwachekesha wachezaji ila sio mchezaji tena maana hana kiwango kabisa.. mkude kachoka ma hapati tena nafuu maana kashavuka peek yake, boko sina la kusema sababu mamuheshimu, nikisema nitakua nimemdharau sana ila anajua wanasimba wanachowaza...Haina salamu.
Hasira zote zikushukie mchezaji usieleweka unacheza namba gani uwanjani, Erasto Nyoni. Hivi unashindwa nini kuiga mfano wa beki Aggrey Morris aliyeamua kutundika daluga?
Yaani sasa hivi umekuwa mchezaji kituko ndani ya Simba, wewe pamoja na hao wakuitwa legends, Jonas Mkude na John Bocco.
Yaani hamna hadhi tena ya kuitumikia Simba SC. Ushauri wangu kwenu kama mnapenda sana kubaki Simba basi ni vyema mkatundika daluga, mstaafu kwa heshima zipo nafasi nyingi katika timu ukiachana na kuwa mchezaji, mnaweza kuomba kuwa hata Kit Manager wa timu.