Kushinda tunaweza kushinda bila wasiwasi ila kwa nchi yetu hii ambayo bado tuna wachezaji wachache waliokamilika kama Nyoni alafu tunawaacha bila sababu za msingi. Hawa akina Nyoni ndio wakuwajenga mabeki wapya tunaowajenga kwaajili ya ushindani wa baadae.mkuu hebu tusiwe na mengi ya kusema tusubiri siki ya mechi dk 90 ndipo tuje kumnanga kocha. kwa maoni ya walio wenvi inaonekana kocha kachemka ila mpira dk 90 tujipe muda tuone
Erasto anaweza kucheza namba zote uwanjani kasoro golini tu unawezaje kuacha asset kama hii ?Erasto ni mchezaji mzuri ila kwa Agrey, Yondani na Abdi banda inakua ngumu kumwita, maana huto mtumia.
Yaani kocha kamchukua yule Paul ngalema kamuacha Erasto si bangi hizi ?Erasto ni mchezaji mzuri ila kwa Agrey, Yondani na Abdi banda inakua ngumu kumwita, maana huto mtumia.
Utakuwa humjui Nyoni wewe huyu ndiye beki pekee hapa bongo mwenye magoli mengi timu ya taifa na kwenye ligihapa hata mimi nimeshangaa sana,Nyoni yuko poa sana sema shida yake hapandishi mashambulizi sana
Ajibu ni liability kwenye teamKaachwa Ajibu sembuse huyo kilaka..
kwako zwazwa...kuna MTU kamfananisha na Banda..what a https://jamii.app/JFUserGuideHoja ya kipuuzi ya siku
Kwa kweli inashangaza sana, Ajibu yupo katika kiwango bora kabisa saa hizi. kila nikimfikiria kesho moyo unadunda natamani aumwe.Kumuacha Fundi Ajibu ni kosa kubwa sana! Yule ni mzee wa pasi za mwisho! Sijui huyu kocha anatumia vigezo gani kuita wachezaji!
Mara nyingi napomuangalia nakubaliana na mtizamo wako na ndio maana wengi wanakubali kuwa japo anakaba vizuri ila hapandishi timu sema kwa ajibu hapo kidogo ndio pana ukakasi ila zama huja zama hupita pengine kitabu kipya kinaandikwaYuko taratibu na hana nguvu ila kwa jicho la mpira wetu wa ndani mnamuona yuko vizur.
Kwel mkuuu Mimi pia ni msimbazi lia lia ila ajibu na nyoni imeniuma cjaona umuhimu Wa Yahaya zayd na DantePamoja na unazi wangu uliotukuka wa pale Msimbazi lakini kwenye taifa tukiweka uzalendo mbele ni dhambi kumweka Ibrahim Ajib pembeni.
Duuuuu unazi mbaya sanaDante future...Nyoni maji ya jioni
HahaaaaaKuna siku kocha atataka mchezaji wa kike halafu maamuzi yake yaheshimiwe?
Dah!!!Hile suluhu na Uganda inamvimbisha kichwa kocha.
mpaka Manji apewe kesi 13 na akazipangua zote ndio mchukue ubingwa????Hapana mkuu. Erasto Nyoni ni level nyingine kwasasa hapa nchini. Ndio nguzo ya Simba ambao ndio mabingwa wa nchi. Yupo kwenye first eleven kwa muda mrefu. Kwanini wamuache? Watupe sababu ili tujue kama walifanya utafiti wa kina.
Nadhani sasa kocha akili imemkaa vizuri.Nafikiri kazi ya Nyoni na Yondani mmeiona leo. Kuna wachezaji si wa kuweka benchi kwakuwa ndio walio kwenye ubora kwasasa na uzoefu wa mechi za kimataifa. Hao vijana wakomae kwanza si kujaribu watu kwenye mechi muhimu.
mkuu kuna mtu kati alipakamata kinoma he goes by the name ERASTO NYONI HATARIIIIIÌINafikiri kazi ya Nyoni na Yondani mmeiona leo. Kuna wachezaji si wa kuweka benchi kwakuwa ndio walio kwenye ubora kwasasa na uzoefu wa mechi za kimataifa. Hao vijana wakomae kwanza si kujaribu watu kwenye mechi muhimu.