MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
- Thread starter
- #41
Kushinda tunaweza kushinda bila wasiwasi ila kwa nchi yetu hii ambayo bado tuna wachezaji wachache waliokamilika kama Nyoni alafu tunawaacha bila sababu za msingi. Hawa akina Nyoni ndio wakuwajenga mabeki wapya tunaowajenga kwaajili ya ushindani wa baadae.mkuu hebu tusiwe na mengi ya kusema tusubiri siki ya mechi dk 90 ndipo tuje kumnanga kocha. kwa maoni ya walio wenvi inaonekana kocha kachemka ila mpira dk 90 tujipe muda tuone