Erasto Nyoni out Taifa Stars!! Kwanini??

Erasto Nyoni out Taifa Stars!! Kwanini??

Wakuu,

Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee.

Hata ingekuwa Brazil au nchi yoyote iliyopiga hatua kimpira kuna wachezaji ukiwaacha lazima upate msukosuko. Erasto Nyoni ndio nguzo ya Simba kwa muda mrefu ambayo ndio mabingwa nchi unawezaje kumuacha?

Waandishi wamuulizeni kocha mkuu atupe sababu za msingi. Hii ni timu ya taifa na uteuzi wa wachezaji unahitaji mawazo mapana hasa ukizingatia ugeni wa kocha mkuu.

Watueleze vigezo vipi vimemuengua Erasto Nyoni ili tukubaliane nao. Bora wasingemuita hata Kapombe lakini si fundi Erasto Nyoni.
Kocha kabana kaaachia
 
Kocha wa simba alivyomuona Nyoni anavyocheza pale kati atakuwa amechanganyikiwa maana yeye amezoea kumpanga beki wa kati hawa azam watakuwa wanajuta kumwacha Nyoni huku yanga wakisikitika walivyozidiwa mahesabu na simba dakika za mwesho kumsajili
 
Mkuu Yanga walizidiwa hela.
 
Back
Top Bottom