kwa kifupi ni kwamba ashamaliza kuandika, submission process inakuajewakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer, amefanya kazi miaka mitano kwenye kampuni ya mambo ya umeme, na sasa anaandika report ya kuwasilisha ERB ili aweze kusajiliwa awe professional engineer. je taratibu ni zipi. kuna mtu anafahamu taratibu zozote?
Kila kitu kipo kwenye tovuti ya ERB, kingine huyo mdogo wako atafute wahandisi wazoefu waliosajiliwa watampa maelekezo katika fani husikawakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer, amefanya kazi miaka mitano kwenye kampuni ya mambo ya umeme, na sasa anaandika report ya kuwasilisha ERB ili aweze kusajiliwa awe professional engineer. je taratibu ni zipi. kuna mtu anafahamu taratibu zozote?
Pia kuna group la ERB telegram angepata taratibu zoteSHUKRANI MKUU
wakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer,