wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
wakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer, amefanya kazi miaka mitano kwenye kampuni ya mambo ya umeme, na sasa anaandika report ya kuwasilisha ERB ili aweze kusajiliwa awe professional engineer. je taratibu ni zipi. kuna mtu anafahamu taratibu zozote?