Erectile dysfunction !!

Erectile dysfunction !!

Hivi kupiga "kimoko" ni erectile dysfunction?
Labda useme inahangaika kudinda na ukidinda unapiga hicho "kimoko" within 1 minute na machine haiamki tena hadi wiki!

Ila kama unadinda fresh na unapiga hicho "kimoko" kwa dakika zisizopungua 10, huna tatizo! Wekeza tu kwenye kujijenga kisaikolojia!

Kama siyo mkeo huyo unayeishia kimoko nakushauri badilisha "demu" ujiassess
 
Tengeneza juice ya mchanganyiko huu. Tende, maziwa, asali, karoti, tikiti na mbegu zake na tangawizi kwa pamoja.... Kunywa mara tatu kwa wiki itakusaidia sana. Utaanza kuona matokeo chanya.
 
Wafanyakazi wengi zaidi ya 80% kitandani hawapo vizuri kwa sababu ya kazi zao.. kutofanya mazoezi, kutembea kwa magari etc.

Utakuta jamaa ni mganga njaa ila mashine 15 mins haijalegea.
 
Hivi kupiga "kimoko" ni erectile dysfunction?
Labda useme inahangaika kudinda na ukidinda unapiga hicho "kimoko" within 1 minute na machine haiamki tena hadi wiki!

Ila kama unadinda fresh na unapiga hicho "kimoko" kwa dakika zisizopungua 10, huna tatizo! Wekeza tu kwenye kujijenga kisaikolojia!

Kama siyo mkeo huyo unayeishia kimoko nakushauri badilisha "demu" ujiassess
Namaanisha nikipiga kimoko ndo basi..no kudinda na ni within 3 minutes
 
Tengeneza juice ya mchanganyiko huu. Tende, maziwa, asali, karoti, tikiti na mbegu zake na tangawizi kwa pamoja.... Kunywa mara tatu kwa wiki itakusaidia sana. Utaanza kuona matokeo chanya.
Asante
 
Msweet[emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom