Erectile dysfunction !!

Erectile dysfunction !!

Robo lita maji ya moto
Asali vijiko 4 vikubwa
Ndimu kipande kimoja
Kitunguu saumu Punje moja iliyopondwa
Changanya vyote kunywa taratibu kama chai huku ukishushia na karanga mbichi
 
Shikamoo Kaka mshana ila mwambie afanye mazoez pia
 
Kizazi chetu kinaangamia, matatizo kama haya yamezidi siku hizi, zingatia yafuatayo:-

1. Acha kuangalia video au picha za pornography, kuangalia video hizo husababisha hisia zako kuwa tegemezi, yaani ili udindishe lazima umuwaze Cherokee D'ass, etc, na hapo ukianza kupiga kazi utapizi haraka sana hasa ukiweka hisia kuwa unayemtia ni mzuri( unayemfikiri akilini badala ya huyo mpenzi wako unayesex naye mda huo),

2. Acha kufikiri kuwa unatatizo la nguvu za kiume, badala yake jiamini kuwa wewe ni rijali, hii itajenga hisia zako na kuondoa hofu.

3. Mazoezi,
fanya mazoezi ya mwili hasa squats, na hata kick boxing ili kukupa pumzi nyingi. hii ni tiba mhimu sana.

4. Usitumie viamshi vyovyote hasa Viagra, epuka sana viagra kwani inakufanya uwe tegemezi kwayo.

5. Pata mda wa kutosha kupumzika.

6. Tumia njia za asili za kujiongezea uwezo, mfano juice na matunda asilia.

Best wishes.
 
Thank u so much
 
Back
Top Bottom