Linasababishwa na niniHapo kwenye "haiamki hadi wiki tena"hilo ni tatizo kubwa sana bora tuu ajiue walah
Inategea na vyakula au nguvu za mwili wakeLinasababishwa na nini
Poa ilo tatizo kuna rafiki yangu analo yani mpka anywe viagra ndio anapiga mechi ,Inategea na vyakula au nguvu za mwili wake
Namaanisha nikipiga kimoko ndo basi..no kudinda na ni within 3 minutesHivi kupiga "kimoko" ni erectile dysfunction?
Labda useme inahangaika kudinda na ukidinda unapiga hicho "kimoko" within 1 minute na machine haiamki tena hadi wiki!
Ila kama unadinda fresh na unapiga hicho "kimoko" kwa dakika zisizopungua 10, huna tatizo! Wekeza tu kwenye kujijenga kisaikolojia!
Kama siyo mkeo huyo unayeishia kimoko nakushauri badilisha "demu" ujiassess
Ninaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!
Msweet[emoji4][emoji4]Tengeneza juice ya mchanganyiko huu. Tende, maziwa, asali, karoti, tikiti na mbegu zake na tangawizi kwa pamoja.... Kunywa mara tatu kwa wiki itakusaidia sana. Utaanza kuona matokeo chanya.
Hapo unatatizo, lkn kabla hujakimbilia kwenye hizo vumbi zinazotajwa wekeza kwenye saikolojia ya kujiamini na kutumia juisi ya Msweet hapo juu.Namaanisha nikipiga kimoko ndo basi..no kudinda na ni within 3 minutes