WNAJAMVI,
huyu DG tangia aingie TPA amejitahidi sana kuziba mirija ikiwemo kuhakikisha kila mtu analipa anachotakiwa.
Lakini makampuni kama silent ocean na GSM wamekuwa wakilazimisha wapewe eneo wawekeze kinyume ya sheria ya PPP lakini yeye aliwaeleza wafuate utaratibu wa uwekezaji.
Wanasiasa na wajumbe wa bodi wamekuwa wakitaka kupewa mafedha bure tofauti na utaratibu akawa anakataa.
Wanasiasa mbalimbali hasa wanaofanya baishara nao wamekuwa wakilazimisha walipe kidogo kuliko utaratibu lakini alikataa, na matokeo yake wakamwambia mama lazima atamtuoa. Nakwakuwa akina silent ocean, wanawasiliana na kinanan mojakwa moja basi wakamtengezea figisu na MAMA KAINGIA MKENGE KUMTOA.
MAMA NASEMA UNAWASIKILIZA SANA HAO WAFANYAbiashara na wanasiasa hadi ukamtoa DG kwa kufanya kazi vizuri kama kweli DG ni mbovu kutokana na utendaji mbovu kwanini usivunje board harafu uitangaze nafasi ya DG ili watu washindane na ulete watanzania kutionga banadari za mbali wanakofanya kazi kama kweli unania?
MAMA NASEMA TENA USIKUBALI KUDANGANYWA NA KUFUKUZA WATU WAZURI KISA WAMESHINDWA KUWASIKILIZA WANASIANSA NA WAFANYABIASHARA