Eric Kabendera acha kudanganya umma, ukweli wa kifo cha Ben Saanane uko kwenye huu uzi

Ama kweli chadema kunambumbumbu yaani hapa washasahau vituko vya mwenyekiti wao Sasa hivi wanamtetea aisee mbowe mungu akusaidie ushinde Ili uendelee kuyaburuza hayo majinga huku ikipiga ruzuku Yako safiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ben Saanane inaonekana aliondolewa na mtu mkubwa sana...hata polisi hata mawaziri hawakudhubutu kuliongelea hili...sasa jiulize ni nani mkubwa kuliko polisi na mawaziri, mimi nawewe tunauja kwa kipindi hicho hakuwa Ndugai wala jaji mkuu waliokua wamejichokea, kuna mzee mmoja alikua anapiga sana push-up majukwaani na kutoa bastola mfukoni!
 
Endelea kupiga ramli chonganishi
 
Hawa wanaandika vitabu wauze wanaokoteza story tu.
Kama lisu alitudanganya mlinzi wa magufuli yule mweusi amekufa na alidai ana trusted source sembuse huyu
 
Haha he shot him in the head.
Mwandishi kaandika kwa hasira jiwe alimfanya mbaya sana uyu jamaa
 
Anataka kupata utajiri kwa njia ya uzushi familia ikae iangalie jinsi gani ya kabendera atalipa mamilion akishindwa kutoa ushahidi!
 
Wanasiasa dunia nzima most of them wana akili ndogo .

Kuna uwezekano mkubwa ⏰8 was killed by padlocks Alcohol
Paclocks alimtaka jamaa akiwa hai baada ya kuhoji PhD yake fake ya jalalani. Unaambiwa siku alipompata kwanza alivuta skanka sana na kubwia grants za kutosha kisha akamchapa muzbag ya kichwa jamaa wa watu
 
Kama kupotea kwa Ben saa name ni kazi ya mbowe basi nchi hii Haina serekali
Au inamfadhili na kumsuport mbowe kwa makubaliano na malengo maalum
 
Magufuli ni muuaji, hakuwa na adabu wala heshima.
 
This is wake up call tuache ushamba kuuua eatu sababu ya kupishana mitazamo au kukosoa serikali lwani wao miungu ?? Ujinga na ushamba kuua wenzako kisa siasa......
 
Amejenga kwa mshahara wake?
Mimi,wewe,yeye na wale tulichanga hela kwa pamoja ndio akafanikisha.

Hata zingekua zako peke yako zisingetosha kujenga daraja.
 
Ndio low IQ hizi , hapo kuna sehemu nimesema alikuwa smart ?
Sasa kwa akili yako wewe kiazi mbatata, ben sa8 auliwe halafu raisi asingiziwe na serikali ikae kimya? Mbona tunasikia huko walio muua katibu wa ccm wanao hisiwa wanakamatwa? Vip kuhusu walio muua kibao, na wengine wa jamii ya kibao, serikali mbona haijakamata mtu had sasa? Tena wengine ushahidi wa mazingira na mahali pakuanzia uchunguzi papo wazi kabisa lakini wapo kimya, hiyo haitoshi kukupa jibu kuwa wauaji ni wao na hawawezi kujichunguza ndio maana wapo kimya?hili mbona hata chizi hahitaji kuelekezwa maana lina jieleza lenyewe.
 
Mimi,wewe,yeye na wale tulichanga hela kwa pamoja ndio akafanikisha.

Hata zingekua zako peke yako zisingetosha kujenga daraja.
Sasa unaposema ametujengea daraja unamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…