OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kifo ni kifo tu, hata ukitupwa ununio na watu ambao hawatakiwi wajulikaneKILA MTU ATAKUFA AWE MBAYA KIASI AU MZURI KIASI GANI, KIFO N MPANGO WA MUNGU
😂😂😂Dr. Eric Kabendera?
Silence surrenders public responsibilities.Huyo mwandish ni punguani anatumika na wanasiasa mafisadi
Sawa. Kwahiyo!?Yule mzee ni kweli alidanja kwa Covid.
Covid or No Covid ! We have been Born to die !View attachment 3192824
Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19.
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika maeneo ya umma.Kimya cha serikali ya Tanzania kiliendelea kuzua waiuwasi hasa miongoni mwa wananchi, watalaam wa afya na wanaharakati wa haki za binadamu, ambao walizuiwa kuzungumzia maambukizi hayo hasa kupitia mitandao ya kijamii.
UONGO MTUPU Upuuzi kama huu kadanganyeni watoto wa juz ambao hawakuwepo wakati huo. Unadhan kuna mtanzania gani utamdanganya ambae haelewi? Hata awe mwanakijiji anajua kila kitu.View attachment 3192824
Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19.
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika maeneo ya umma.Kimya cha serikali ya Tanzania kiliendelea kuzua waiuwasi hasa miongoni mwa wananchi, watalaam wa afya na wanaharakati wa haki za binadamu, ambao walizuiwa kuzungumzia maambukizi hayo hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Kwani ni yeye pekee alikufa kwa corona? That a president is immune to die from covid 19? Corona yenyewe was man made .Cha ajabu kipi hapoKILA MTU ATAKUFA AWE MBAYA KIASI AU MZURI KIASI GANI, KIFO N MPANGO WA MUNGU
Chanjo ya covid haijawahi kuzuia covid wala kuokoa maisha ya mtu hata wazungu walioileta wenyewe wameikataa na wanawashtaki wenye makampuni ya chanjo.Wakitaka kumjua aliempa COVID ni dogo mmoja katika walinzi wake, alipokuwa sokoni Morogoro waangalie kwa makini video.
Kuna dogo alikuwa anaisambaza
Shida pia ni utaahira wake alikataa chanjo, ni kujitakia (uwezi shindana na bwana godi).
Worst unataka kuwapangia na wengine wasipate chanjo ushajiona mungu mtu (hakukuwa na namna he had to be eliminated, sad). Ndio uhalisia mambo mengine sio ya kuvumilia sad but justified on the token of greater utility,
Mambo mengine hayataki emotional, ningeamuru same thing hata ningekuwa mimi japo nilimkubali sana jamaa (uwezi zuia chanjo kwa wengine kisa imani zako) that’s just stupid and unacceptable.
Hivi covid iliendaga wapi? Na chanjo zipo? Mie nilikuwa nimemsubiri kwa hamu waziri wa afya anilazimishe kuchoma sindano!! Ningempa za uso nakwambia!! Covid was man made to eradicate poor people like Africans .God is great!! It backfired!!Wakitaka kumjua aliempa COVID ni dogo mmoja katika walinzi wake, alipokuwa sokoni Morogoro waangalie kwa makini video.