Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zao zipoje kwa upande wa madawa?Erick Mandala,siju Steve Luemba... na wenginewengine namsikilizaga Fally akiwatajataja.Pole kwake,Spain watende haki.
Hahahaha,,kumbe.....anko wangu muacheni kwanzaUtakuta kwenye kitabu katueleza alivoanza kidogo kidogo kwa kuuza matikiti hadi akawa bilionea.
Yan ataanza alivyonusurika kuuwawa na waasi huko CongoUtakuta kwenye kitabu katueleza alivoanza kidogo kidogo kwa kuuza matikiti hadi akawa bilionea.
Mbona kifaransa, mashamba makubwa nalima!?