n00b
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 1,015
- 2,680
Kuna huyu kijana watu wanasema kuwa ni mmojawapo wa wawekezaji wazawa wa mwanzo kabisa nchini kwenye mtandao wa Internet. Wanaofahamu naye kazi wamekuwa wakimsifia kuwa ana uwezo mkubwa wa kuongoza biashara.
Lakini mnaomfahamu mnaweza kutusaidia, yeye ni nani na ametokea wapi? Kwa vijana wengi wa umri wake, ni vigumu kupata mtaji wa kuanzisha makampuni mengi kama vile, je yeye amepata mtaji wapi na ameanzia wapi? Si vibaya tukawajua vijana wetu kwa undani ili na sisi pia tujifunze.