Eric Mwenda ni nani?

Eric Mwenda ni nani?

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,015
Reaction score
2,680
Kuna huyu kijana watu wanasema kuwa ni mmojawapo wa wawekezaji wazawa wa mwanzo kabisa nchini kwenye mtandao wa Internet. Wanaofahamu naye kazi wamekuwa wakimsifia kuwa ana uwezo mkubwa wa kuongoza biashara.

Lakini mnaomfahamu mnaweza kutusaidia, yeye ni nani na ametokea wapi? Kwa vijana wengi wa umri wake, ni vigumu kupata mtaji wa kuanzisha makampuni mengi kama vile, je yeye amepata mtaji wapi na ameanzia wapi? Si vibaya tukawajua vijana wetu kwa undani ili na sisi pia tujifunze.
 
Utachunguza au utatakakujua siri za mafanikio za watu wangapi kaka,we jilie sembe lako tu,watu wana mambo mengi usione tu wanaendesha ma Vogue wangali vijana wadogo na wazee wazima wanaendesha baiskeli na uzee wao,kifupi kufanikiwa kwa mtu hakufuati umri.
 
Katibu Mkuu wa CCM (Kinana) ana kampuni ya ISP - internet service provider kwa jina la WIA, Eric Mwenda yupo pale kama CEO na inasemekana amepewa shares. Ni kijana very sharp na aliye elimika vizuri nje (canada). Amejifunza aina hii ya biashara kupitia kwa rafiki yake wa karibu aitwaye rashid shamte, CEO wa sixtelecoms. Rashid aliporudi kutoka nje masomoni alibahatika kukutana na peter noni (DAP wa BOT wakati wa balali, hivi sasa CEO wa Tanzania Investment Bank). Shamte akafanikiwa kumshawishi peter noni kufungua biashara ya telcoms na baadae eric mwenda aliporudi kutoka canada akaajiriwa na shamte kwa muda mrefu kabla ya yeye pia kumpata peter noni wake (kinana).

Vijana hawa wawili kwa sasa wana mafanikio makubwa sana kifedha. Fursa kama zao bado zipo hasa pale vijana wanapopata bahati ya kuwa karibu na pia kuaminiwa na vigogo wa CCM wenye fedha lakini ambao hawana idea on how to invest it in today's knowledge driven global economy.
 
Ata baba yake marehemu Mzee Mwenda alikua mtu mkubwa serikalini! Bila Shaka Mali zingine ni za kurithi!
 
hakua tu mtu mkubwa, bali alikua kichwa na alimsaidia sana Museveni enzi za mwanzo kutengeneza system zake.

i am not sure where this thread is heading but i dont think it is for great thinkers... tunadiscuss mtu badala ya issues
 
Asante kwa kuongezea Hapo!
 
hakua tu mtu mkubwa, bali alikua kichwa na alimsaidia sana Museveni enzi za mwanzo kutengeneza system zake.

i am not sure where this thread is heading but i dont think it is for great thinkers... tunadiscuss mtu badala ya issues

ana uhusiano wowote na Andrew Mwenda mwandishi wa uganda?
 
Back
Top Bottom