Bishop Hiluka JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 7,147 Reaction score 14,699 Jun 27, 2019 #1 Mchekeshaji wa Kenya, Eric Omond amezidi kunogesha mpambano wa watani wa jadi: Harambee Stars dhidi ya Taifa Stars katika michuano ya Afcon 2019, kwa kutoa video ya "Kanyaga"...
Mchekeshaji wa Kenya, Eric Omond amezidi kunogesha mpambano wa watani wa jadi: Harambee Stars dhidi ya Taifa Stars katika michuano ya Afcon 2019, kwa kutoa video ya "Kanyaga"...
Ty_Vigilante JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 2,890 Reaction score 2,455 Jun 27, 2019 #2 Hahaha haah, Hana adabu kabisa, katumia wimbo wa Mtanzania kusifia timu ya Kenya...
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Jun 27, 2019 #3 Wakenya tupigieni hao mapaka shume wa ccm