Eric Omond, una utani na Taifa Stars wewe!

Eric Omond, una utani na Taifa Stars wewe!

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Mchekeshaji wa Kenya, Eric Omond amezidi kunogesha mpambano wa watani wa jadi: Harambee Stars dhidi ya Taifa Stars katika michuano ya Afcon 2019, kwa kutoa video ya "Kanyaga"...

 
Hahaha haah, Hana adabu kabisa, katumia wimbo wa Mtanzania kusifia timu ya Kenya...
 
Wakenya tupigieni hao mapaka shume wa ccm
 
Back
Top Bottom