Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kamponda sana humo ndani!Amemsifu au anamponda?
Any comedian angefanya hivyo...haina tatizo....hata diamond hatapanick akiiona.Kweli, make naona yote aliyoyataja ni full kashfa kwa jamaa. Kuanzia mavazi, company etc.. Au ndiyo kiswahili kinampiga chenga??
Komedian anaweza kuongea chochote ili mradi hadhira icheke.. But doesnt mean that anaku snitchAmemsifu au anamponda?
Sijakuelewa anatakiwa ajifunze nn? Sijaona tatizo la yeye kutembea na crew kabisahaaaaaa nimecheka hatari
ila Diamond ana la kujifunza hasa mambo ya kutembea na crew nzima
Hakuna tatizo kabisa, wasanii wengi wakubwa natembea na crew kubwa. From tupac mpaka wasanii wasasa.Sijakuelewa anatakiwa ajifunze nn? Sijaona tatizo la yeye kutembea na crew kabisa
sijaona sehemu yeyote aliyoponda labda angeleta na yakutoboa kipini hapo ingekuw ugomviMkuu kamponda sana humo ndani!
Kilichotumika hapo ni fasihi bezo fasihi kebehisijaona sehemu yeyote aliyoponda labda angeleta na yakutoboa kipini hapo ingekuw ugomvi
imepangwa hii,wana show ya pamoja karibuni huko kenya,hakuna alichopnda zaidi ya kumuongezea umaarufu.Mkuu kamponda sana humo ndani!
Aug 20, 2016
Nairobi, Kenya
Eric Omondi How To Be Diamond Platnumz
Source: Eric Omondi
acha uwongo kampondea wapi jamaa jelous mbayaMkuu kamponda sana humo ndani!