Ethos
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 2,294
- 2,083
Pili hata nukta haingiiHuyu jamaa anajitahidi kuwa mbunifu, sio kama MC Pilipili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pili hata nukta haingiiHuyu jamaa anajitahidi kuwa mbunifu, sio kama MC Pilipili
SanaJamaa anajua
Mmmh.. Ngoja wajeJamaa si lolote kazi kuiga maigizo ya wengine
Huwa namtakaga apite huku labda atabadilikaKale kasteve katatoa povu gani tena..
HahahaAlivyotoa mguu shimoni nikadhania anaopoa chatu kumbe kaopoa kimwali part two aonyeshe kama Yale mawindo yake ya mwanzo aliyala ama la
Tisha sanaTeh! Ila graphics za ukweli.
Mondi ni yupi?Kaka usimfananishe mondi na msanii yoyote wa kwetu
Kina Masanja, Pilipili,. Mpoki mjipange
Afadhali Joti anajitahidi...
Kwenye hii video hao watoto ndio wamenifikirisha sana
Sasa hapo kuna ubunifu gani? Kuiga ndio ubunifu?Kwa bahati mbaya mno, na nasikia uchungu kusema,wasanii wa kitanzania hawana ubunifu!?
"Nakageri, ninavokula ili we ule bhaaga, uliza kiatu", na demu akija anazila kwa urahisi tu!Kweli wanaume tunakula kwa jasho hadi kufikia hatua hii matako yote wazi[emoji116]![]()
Nashindwa kuelewa kama hii ni chupi ya kiume au kike! [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kweli wanaume tunakula kwa jasho hadi kufikia hatua hii matako yote wazi[emoji116]![]()