Eric Omondi kaja na parody ya ‘The Gods Must Be Crazy’

Jamaa si lolote kazi kuiga maigizo ya wengine
 
Kale kasteve katatoa povu gani tena..
 
Alivyotoa mguu shimoni nikadhania anaopoa chatu kumbe kaopoa kimwali part two aonyeshe kama Yale mawindo yake ya mwanzo aliyala ama la
 
Kaka usimfananishe mondi na msanii yoyote wa kwetu
 

Kina Masanja, Pilipili,. Mpoki mjipange



Afadhali Joti anajitahidi...


Kwenye hii video hao watoto ndio wamenifikirisha sana
Kwa bahati mbaya mno, na nasikia uchungu kusema,wasanii wa kitanzania hawana ubunifu!?
 
Chanzo cha sanaa ni MWIGO ambapo wasanii wote humuiga msanii Mkuu ambaye ni Mungu, Mungu aliumba mikono binadamu akumba umma" alstostlle
Wew toka uzaliwe umefanya kipi kipya?
Labda ungesema hachekeshi ila sio issue ya kuoga
Diamond kaiga wimbo wa saida kaloli na umekuwa mkubwa Afrika kote
 
kumbe MC Pilipili ni comedian??? sijaona cha maana kwake zaidi ya mtu mwenye kupiga makelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…