Eric Omondi mmoja ni sawa na wasanii wa bongo 200

Wewe mchango wako upi kwa taifa? Mbona ww hupeleki kengele zako ila unataka wasanii wakufanyie kile wewe kimekushinda!

..wasanii wa Tz wakae mbali na waache kujipendekeza kwa mafisadi.
 
..Mama Abduli, Ccm, na genge la wateule wake, nao ni sehemu ya Watz uliowaita wanafiki, hivyo wa wao hawastahili kutetewa.
Nimeshasema watanzania ni wanafiki sana sasa wewe wachambue
 
Mwanangu umewajua vyema wabongo ww angalia mpina katoa fact lakini utashangaa watu wako kimyaaa na ataadhibiwa na majizi sisi tunaangalia tu hata kuandamana hakuna
Sisi ni wapambanaji wazuri sana nyuma ya keyboard ⌨️ ila kiuhalisia, nani akafe mbele ya kamanda murilo
 
Alafu ana muuliza "should I call you mister?" [emoji23][emoji23]

Baadae tena ana muuliza "How can I describe you?" [emoji23][emoji23]

Simon Kaggwa Njala, interview zake wengi wanazikimbia, ana maswali ya kutia hasira.
Hahahahahahahaha
We jamaa buana
 
Alafu ana muuliza "should I call you mister?" [emoji23][emoji23]

Baadae tena ana muuliza "How can I describe you?" [emoji23][emoji23]

Simon Kaggwa Njala, interview zake wengi wanazikimbia, ana maswali ya kutia hasira.
hahahahahahahaha huyo mwamba ni hatari
 
Vipi anamfikia SUGU? Niki hana maajabu yoyote kwenye siasa na sanaa.
 
Bongo majinga mengi na wenye akili wameamua kujitoa akili waneemeke. 😂
Mhu 10:5‭-‬7 SUV
Liko baa nililoliona chini ya jua, nalo ni kama kosa litokalo kwake yeye atawalaye; ya kuwa upumbavu huwekwa mahali pa juu sana, nao wakwasi hukaa mahali pa chini. Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, na wakuu wakienda kwa miguu juu ya nchi kama watumwa.


Ecclesiastes 10:5‭-‬7 CEB
There’s an evil that I have seen under the sun: the kind of mistake that comes from people in power. Fools are appointed to high posts, while the rich sit in lowly positions. I have seen slaves on horseback, while princes walk on foot like slaves.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…