GE2025 Eric Shigongo achukua fomu kutetea Ubunge Buchosa kwa mara nyingine

GE2025 Eric Shigongo achukua fomu kutetea Ubunge Buchosa kwa mara nyingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa Buchosa anayemaliza muhula wake wa kwanza, Eric Shigongo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa muhula wa pili, zoezi lililofanyika katika Ofisi za CCM Sengerema

Shigongo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu

Wananchi wa Buchosa wana shauku kubwa ya kumuona Shigongo anaendelea kuwa mbunge wao kutokana na mambo makubwa aliyoyafanya ndani ya kipindi cha miaka mitano ya awali ili azidi kuipaisha Buchosa zaidi ya ilipofikia sasa kimaendeleo

Soma pia:

eric.png
 
Back
Top Bottom