Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 26, 2024 #1 Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024 nchi nzima. Soma pia: Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa CCM ni waelewa na wana akili Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024 nchi nzima. Soma pia: Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa CCM ni waelewa na wana akili Your browser is not able to display this video.