Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024 nchi nzima.
Soma pia: Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa CCM ni waelewa na wana akili
Soma pia: Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa CCM ni waelewa na wana akili