Eric Shigongo afunguka kuhusu scandal ya ushoga

Message sent and delivered , sasa huyo shoga Sijui ni aunt bilali au Suzy, maana kipindi kile mashoga walikuwa wa kuhesabu sana , kumbe sintah naye Nouma alimtingisha had shigongo duh

Hilo kundi nalikumbuka na enzi zao walimpa sana presha shigongo nadhan kifo cha Amina alipumua.
 

Mwosha huoshwa...
 
Hilo kundi nalikumbuka na enzi zao walimpa sana presha shigongo nadhan kifo cha Amina alipumua.

Kumbe sintah jemedali eeh? Ni Nouma wamuundie tena kundi la al shabaab akome , nipo radhi kujitolea bureee kumkomesha huyu mfir@j
 
Vipi yeye alishawahi kuwashitaki hao Alquaeda akina Sintah na Marehemu Chifupa ihali alishajua wanawapa mashoga pesa ili wamchafue kwenye kitchen parties.

Bila shaka hana ushahidi wa kupeleka mahakamani.
 

Heaven on Earth pamoja na global kujikita kufichua maovu lakini pia wanaangalia ambayo yatapata wateja, ndio maana wana wafatilia wale maarufu na kuwaandika hili wapate faida na kufichua maovu.

Hivyo basi si kila baya linaweza kuandikwa, kina choangaliwa ni kama lina lipa na litapata wateja.

Ni mara chache wameandika uongo kuhusu hawa mastaa na ndio maaana hakuna mwenye uwezo wa kuwa sue maana wana jua watashindwa. Alaf hawa wanao lalamika kila leo kuandikwa ndio wanao pendwa kuandikwa na nyota zao zime lalia kwenye hayo magazeti na wana fanya hili waandikwe case study wema.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe sintah jemedali eeh? Ni Nouma wamuundie tena kundi la al shabaab akome , nipo radhi kujitolea bureee kumkomesha huyu mfir@j

Alizidi kuwaandama sana yeye, Nora na marehemu Amina mpk akatoa tuzo ya kuandikwa sana kati ya Nora na Sinta na bidada Sinta akawabingwa.

Kwa Amina it was too mucci sijui alimfanya nn dada wa watu maana mpk alipofariki bado alikuwa ana mwandika na kumuongelea marehemu tena kwa vitu negative.
 
Maza fanta unatoka povu la nini kila au nawe bwa.....a

Bw...a Baba ako, mse...g.. mkubwa wewe, akili ndogo unazileta kwenye jukwa la maana, si ungekaa nyumbani ukande maandazi?
Una ushahidi gani kuwa kiongozi wako uliemtaja ni shoga kama sio matatizo ya ushoga yamekuathiri?
Tatizo ni kuwa mtu akiwa mliberali, huwa anaamini kuwa kila mtu ana interests hizo. Ukitaka kujua kuwa umeandika ujinga, tafuta waliokusupport! Humu ni kwa wastaarabu sio ngedere!
 

Wewe c ndio mwalimu wangu wa usen...e ukiacha nami ntaachaa
 
Huyo anajisafisha tu na hana lolote! Kwa ninavyomjua Mimi, kungekuwa na uhasama wa kumuathiri kiasi hicho angekuwa keshakata Mkwanja kitambo kwani hela kwake si tatizo tangu muda mrefu!
Kuna mdogo wake alimuibia milioni 400 alimfanya nini? Anajaribu tu kujisafisha lakini tunaojua hatupelekwi kihivyo, huyu ni mtu asiefaa katika jamii, kaua, kadhalilisha sana watu, kadhulumu na ushahidi upo, ndio leo useme ni kina Sintah?
Kuna dogo alikuwa akifanya kazi pale Bamaga kwenye magazeti yake, aliingia kwenye anga za huyu jamaa, kuna mwanamke wa jamaa akawa anampenda huyo dogo, kilimtokea kibaya sana! Na hilo tuseme ni kina sintah? Bado sana! Ameumiza sana watu!
 
Huyu c walisema
ana.....wa n mheshimiwa first class au siyo, ila hata mheshmiwa c rizki
kutwa kuchekacheka n mipasho, realman hawezi kua n mipasho n kucheka
inawezekana nae anapakua n kupakuliwa

Hii ni lugha ya Sho.g, unakielewa ulichokiandika?
 
Upande wa pili! Huyu jamaa kupitia magazeti yake kawapa ulaji na umaarufu watu wengi bongo hii.
Ana mchango mkubwa hasa katika ulimwengu wa kupashana habari,burudani na ajira kwa ujumla.

Ni kweli! Kama ilivyo kwa wauza sembe ambao wameajiri walinzi, madereva, mashamba boy, mahausigeli, wahasibu, mameneja wa miradi n.k Nao wanatoa ajira lakini haihalalishi maovu yao!
 
Huko amewaachia wakina zitto kabwe yeye amejikita kijamii zaidi
 

Mkubal mkatae uyo ndugu yenu ni Mchele tena mchele kitumbi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…