Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

Status
Not open for further replies.
Ugomvi wake na Camilion ni upi? Wekeni wazi.


confirmed news tumesikia kwamba
Chameleone and his crew’s passports have been
detained by Eric Shigongo akimtaka ampe dola
3500 aliyotapeliwa na waganda wasiofahamika.
Kwa mujibu wa Chameleone yeye anasema saga
hilo limetokea jana wakati anajiandaa kuondoka nchini mida ya saa nane kasoro ambapo mmoja
wa wafanyakazi wa Shigongo alimuomba
passport yake na za wenzake wawili aliokuja nao
ili watoe photocopy baada ya hapo akaambiwa
kuwa Shigongo amechukua passport zao ili
alipwe hela aliyotapeliwa mwanzo kiasi cha dola 3500 ambazo alitoa kama deposit ya msanii huyo
kuperfom. Chameleone aliendelea kusema kuwa kwa
upande wake hahusiki na utapeli huo kwani
watu ambao anamhusisha nao amewasikia
kupitia kwa msanii wa kirundi Kidum ambaye
ndiye aliyemkconnect na watu hao, Chameleone
alisema ‘mimi nilishangaa Kidum aliponipigia simu na kuniuliza kama nakuja tz, nikamuuliza mbona
sijui kitu? akasema sii hela umepewa kupitia
meneja wako, nikamwambia meneja wangu
hajapokea pesa yeyoye! Sasa nilivyofuatilia
nikagundua watu ambao walimtapeli
walimwalika Shigongo Kampala na kumwambia kuwa ni managers wangu na kitu walichofanya
ni kutumia gari kama langu aina ya range rover
nyeupe ambayo mimi natumia bila number plate
wakamwambia kwamba wanahusika na mimi
ndio maana ametuachia gari lake. Kuona hivyo
Shigongo akatoa deposit nusu ya pesa ya shoo ambayo ilikuwa iwe dola elfu 7 baada ya hapo
jamaa wakakata mawasiliano sasa Shigongo
ananihusisha vipi na watu ambao mimi siwajui
amwambie Kidum arudishe kwa sababu yeye
ndiye aliyempa contact ya huyo meneja feki’.
Mpaka tunaandika habari hii hatujapata uhakika kama Chameleone bado yupo nchini kwani
alitakiwa kuondoka mida ya alasiri. Pole sana
kaka Shigongo kwa kukumbwa na utapeli huo,
kwa kweli wakati umefika wa kuwa na booking
agencies zinazoeleweka na kuaminika!
 
Ukitamka Shigongo taswira inayokuja kichwani ni udaku tena udaku unaofanywa na dume. Aibu aibu aibu kubwa.
 
kuona Range rover nyeupe huyoo kaingia line, utadhani Rangerover nyeupe ilitengengezwa 1 tu ya Chameleon,kweli si wote wenye pesa ni wajanja,SHIGONGO KATAPELIWA NA WATOTO WA MJINI SABABU YA USHAMBA WAKE, ASITOLEE HASIRA ZAKE JF
 

Vipi magazeti ya Ijumaa na Uwazi ni ya nini? Mbona mimi naona ni ya kijinga zaidi
 

Shigongo JF ni koti ambalo si size yako, tafuta koti litakalokutosha kama Kiu, Ijumaa, Wikend Ijumaa na puuzi nyingine kama hizo.
 
Shigongo ni mjinga yeye ni mchafu sana mamboyake mbona hajaweka ukurasa wa mbele wa magazeti yake? yeye nisawa na matapeli wanaopata hela kwanjia isio halali kwa kuandika habari za uongo kwenye magazeti yake. Upeo wake ni mdogo anajua kuchokoa ya watu yake yanamshinda
 
Wana JF tusipoteze muda wetu kwa Shigongo. Mwenye CV yake aweke hapa then tutajua kama tumjadili au lah.
 
Analeta udaku na JF huyu.
Ngoja tumkalie kama kamati tutazame majaliwa ya tuhuma hii nzito.

Hivi huyu mjamaa ana akili kweli? Hivi a nadhani kwa kujichukulia umaarufu kutokana na kufuatilia maisha ya watu ndio kamaliza eeh? Ajipange upya na WALA hakuna haja ya kumkatia Kama kamati kiivyo Maana at ajira anajua sana huyu. Ukiniambia nikuorodheshee watz waliochangia kwa kiwango kikubwa kushusha maadili ya Nchi yetu hii nzuri ni huyu jamaa.
 
Hata mie nimemsikia akiongea na Millard. Eric amesema ukweli, na msema kweli hapendwi. sasa kama yeye anatuandikia gazetini kichwa cha habari " "MPOTO AKUTWA GEST AKIWA NA LINA" Na watanzania kwa maelfu mnakimbilia kununua magazeti kwa fujo, Anatengeneza mamilioni. Tukifungua ndani unakuta habari ni kwamba Mpoto na Lina walikuwa wanashoot kipande cha nyimbo yao mpya. Toleo linalofuata anakuja na heading nyingine ya aina hiyo, na tena mnakimbilia na kununua kwa fujo. sasa unafikiri wakati anahesabu hizo pesa anaongea maneno gani ? in fact sio yeye aliyeanza kutuita wajinga, BABU wa samunge ndie aliyeanza. leo anaendesha Landcruiser mpya.
 

ningekua kwenye pc ningekugongea LIKE..
 
Kama JF ni ya wajinga basi magazeti yake ni ya kipumbavu.
 
amesema uwa ana soma coment za watu,anashangaa..eti anawafahamu watu wengi waliokuwa JF sasa wamejitoa..kamta ja Zitto mmojawapo

Huku kama unaleta Udaku daku unatoka nduki mwenyewe...hao waliotoka walijua jf ina videmu vya kuchezea kama fb walipogundua hakuna wakakimbilia fb na twitter...
 
Huyu kachokoza pabaya, JF ni wajinga na yeye anavyo waibia watu na story zake za kutunga ya magazeti yake, atajibeba
 
shigongo ni mdudu gani?? hivi hayo magazeti bado yapo??
 
Wana JF tusipoteze muda wetu kwa Shigongo. Mwenye CV yake aweke hapa then tutajua kama tumjadili au lah.
nna hakika hana hadhi ya kujadiliwa! infact ni bora kumjadili babu wa samunge, kuliko yeye!! pathetic!
 

OhoooO nilijua tu keshalikoroga tutajua mpaka siku alojisaidia kitandani. Hivi huyu mtu si ndo alitumiwa na wauza unga kummaliza Amina Chifupa jamani, alafu lilivyojinga likatoaga makala waliochangia kifo cha AC. Mlokole awe yeye embu atoe picha za utupu anazowaweka wenzie kwenye magazeti yake alafu anajifanya kuficha na vidoa kwenye maziwa na chini ilihali kamuacha mtupu kote. Aondoke akatubu fisadi papa wa maisha ya watu huyu, ameona hapa JF kuna picha kama zake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…