Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Ugomvi wake na Camilion ni upi? Wekeni wazi.
confirmed news tumesikia kwamba
Chameleone and his crews passports have been
detained by Eric Shigongo akimtaka ampe dola
3500 aliyotapeliwa na waganda wasiofahamika.
Kwa mujibu wa Chameleone yeye anasema saga
hilo limetokea jana wakati anajiandaa kuondoka nchini mida ya saa nane kasoro ambapo mmoja
wa wafanyakazi wa Shigongo alimuomba
passport yake na za wenzake wawili aliokuja nao
ili watoe photocopy baada ya hapo akaambiwa
kuwa Shigongo amechukua passport zao ili
alipwe hela aliyotapeliwa mwanzo kiasi cha dola 3500 ambazo alitoa kama deposit ya msanii huyo
kuperfom. Chameleone aliendelea kusema kuwa kwa
upande wake hahusiki na utapeli huo kwani
watu ambao anamhusisha nao amewasikia
kupitia kwa msanii wa kirundi Kidum ambaye
ndiye aliyemkconnect na watu hao, Chameleone
alisema mimi nilishangaa Kidum aliponipigia simu na kuniuliza kama nakuja tz, nikamuuliza mbona
sijui kitu? akasema sii hela umepewa kupitia
meneja wako, nikamwambia meneja wangu
hajapokea pesa yeyoye! Sasa nilivyofuatilia
nikagundua watu ambao walimtapeli
walimwalika Shigongo Kampala na kumwambia kuwa ni managers wangu na kitu walichofanya
ni kutumia gari kama langu aina ya range rover
nyeupe ambayo mimi natumia bila number plate
wakamwambia kwamba wanahusika na mimi
ndio maana ametuachia gari lake. Kuona hivyo
Shigongo akatoa deposit nusu ya pesa ya shoo ambayo ilikuwa iwe dola elfu 7 baada ya hapo
jamaa wakakata mawasiliano sasa Shigongo
ananihusisha vipi na watu ambao mimi siwajui
amwambie Kidum arudishe kwa sababu yeye
ndiye aliyempa contact ya huyo meneja feki.
Mpaka tunaandika habari hii hatujapata uhakika kama Chameleone bado yupo nchini kwani
alitakiwa kuondoka mida ya alasiri. Pole sana
kaka Shigongo kwa kukumbwa na utapeli huo,
kwa kweli wakati umefika wa kuwa na booking
agencies zinazoeleweka na kuaminika!