Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Shule ya upili ndio ipi hiyooo
Ni kweli umeuliza hili swali au unamzinguwa Nyani tu?
we unaonaje kwani!!!!!!!
Elimu ni muhimu ili upate pesa. Sema elimu sito lazima uipate darasani katika mfumo rasmi. Unaweza kujifunza kupitia mfumo usio rasmi na ukapata elimu kuliko aliyepita mfumo rasmiElimu sio kitu as longer as unapata pesa
Thanks mkuu, huyu jamaa kwa sasa namkubali sana kwa mapito yake na mpaka sasa alipo!watanzania atupendi kuwa appreciate wenzetu kama wanafanya vizuri eti kuna watu wanasema anakopi na kupesti
Acha kujitoa ufahamu wewe, hata kama ingekuwa ku-copy na ku-paste nayo ni kipaji hasa kwa mtu mwenye elimu ya kuchechemea kama yeye! Kiufupi mimi nilitazama na kusikiliza kwa makini kipindi chake chote japo yalikuwepo makosa madogo madogo katika uongeaji wake lakini makosa hayo ni nothing kwangu kulingana na historia ya elimu yake!Copy and paste haiitaji elimu ya sekondari mkuu.
Thanks mkuu, huyu jamaa kwa sasa namkubali sana kwa mapito yake na mpaka sasa alipo!
Acha kujitoa ufahamu wewe, hata kama ingekuwa ku-copy na ku-paste nayo ni kipaji hasa kwa mtu mwenye elimu ya kuchechemea kama yeye! Kiufupi mimi nilitazama na kusikiliza kwa makini kipindi chake chote japo yalikuwepo makosa madogo madogo katika uongeaji wake lakini makosa hayo ni nothing kwangu kulingana na historia ya elimu yake!
Pia jamaa kwa sasa anauelewa mkubwa sana wa mambo ya kijamii na kimaisha kuzidi graduate wengi tu! Na yawezekana hata wewe anakuzidi umebaki na chuki binafsi zako tu!
Na hata kama ameishia kidato cha nne, kwa maoni yangu nadhani bado anastahili pongezi coz' shughuli anazofanya sio za kifom foo fom foo!Kama kweli hakusoma shule ya upili nampa hongera.
Kajitahidi sana kimaisha.
Aiseeee imenipitaje hii,bahati yako Salamander
Usipige makelele watu wote wajue, weekend ndio hii, kama vipi fanya PM nikutoe out.
Out yangu huiwezi wewe mjusi acha kujishaua
..
Acha mikwara hiyo, we ni-PM unakaa wapi nikutumie kibajaj.
Kajitahidi ukifananisha na kundi kubwa likiokosa elimu. Lakini apunguze habari za umbeya na uongo kwenye media zake. Credibility ya business inajengwa na clean reputation.
duh! ndan ya jf mnakuwa matawi ya michongoma! lolBajaji???nani wa kula vumbi?ndio mana nimekuambia huwezi....
Namkubali shigo muuza mafta shely huko zamani ambaye amekuwa bilionea