Eric shigongo hakusoma shule ya sekondari kabisa

Eric shigongo hakusoma shule ya sekondari kabisa

Hakuishia mjini bila sababu mkuu!... Jamaa kaua watu wengi sana huyu kwa kujifanya daktari kwenye kadspensary kake kumbe taaluma yenyewe hana! na hiyo RMA hakuhitimu bali alikimbia mara baada ya kuwa assigned kumuosha vidonda mtu mwenye ukoma kule sikonge Tabora... alivyorudi ndo akafungua dispensary kumbe anatibu "VIJANA WAKE WA KAZI" waliokuwa wakijeruhiwa kwenye matukio ya ujambazi!!!
Njia ya mafanikio ni ndefu, so EJS anaijua njia ya mafanikio yake mwenyewe.... tusitafutane jamani.

Maelezo yako mazuri, njia yake ya mafanikio anaijua yeye!
Kuna mtu aliwahi nidokeza kwamba ukienda kanda ya ziwa utakutana na kahistoria kengine ka Shigongo pamoja na jina tofauti na hili analotumia!

Anyways.....hongera zake kwa kuwa tajiri!
 
Thibitisha habari yako.Hakuna source sababu naona unaongea tu.
 
Maelezo yako mazuri, njia yake ya mafanikio anaijua yeye!
Kuna mtu aliwahi nidokeza kwamba ukienda kanda ya ziwa utakutana na kahistoria kengine ka Shigongo pamoja na jina tofauti na hili analotumia!

Anyways.....hongera zake kwa kuwa tajiri!

Thibitisha kwa kutupa ushahidi hata Wa kimazingira maana kama unamchafua tu
 
Kuna watu wanasema anacopy hiyo sio sababu ya msingi Kwa sababu wapo wanao copy na still hawafanikiwi, jamaa anaakil ya maisha
 
Elimu ni muhimu ili upate pesa. Sema elimu sito lazima uipate darasani katika mfumo rasmi. Unaweza kujifunza kupitia mfumo usio rasmi na ukapata elimu kuliko aliyepita mfumo rasmi
Elimu inaondoa ujinga, kupata pesa ni ishu nyingine
 
Back
Top Bottom