Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hakuishia mjini bila sababu mkuu!... Jamaa kaua watu wengi sana huyu kwa kujifanya daktari kwenye kadspensary kake kumbe taaluma yenyewe hana! na hiyo RMA hakuhitimu bali alikimbia mara baada ya kuwa assigned kumuosha vidonda mtu mwenye ukoma kule sikonge Tabora... alivyorudi ndo akafungua dispensary kumbe anatibu "VIJANA WAKE WA KAZI" waliokuwa wakijeruhiwa kwenye matukio ya ujambazi!!!
Njia ya mafanikio ni ndefu, so EJS anaijua njia ya mafanikio yake mwenyewe.... tusitafutane jamani.
Maelezo yako mazuri, njia yake ya mafanikio anaijua yeye!
Kuna mtu aliwahi nidokeza kwamba ukienda kanda ya ziwa utakutana na kahistoria kengine ka Shigongo pamoja na jina tofauti na hili analotumia!
Anyways.....hongera zake kwa kuwa tajiri!