McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Yaani hawa wananchi wa Buchosa akili zao zinatakiwa kupigwa window kabisa, maana ni aibu sana kuambiwa maneno kama hayo na Mbunge alafu ukakaa chini ukasikiliza.
Uko Marekani watu wapo busy kuwaahidi wananchi mambo ya Space Force na kwenda Mars, Mbunge anajitokeza anawaahidi wananchi masuala ya kuwapelekea Tshirt za CCM?