Huyo darasa la Saba unategemea ataongea nini.
Tuna uhaba Sana wa watu Smart Tanzania.
Barabara
Maji
Shule
Zahanati
Mambo yote haya yamemshinda anazungumzia tisheti za elfu moja na chapa za sisiemu ambazo hazizidi elfu tatu.
Hivi Mwami bado anajitafunia hii kitafunwa?Umeletaaaa
View attachment 3381298